Chief AI

Nunua credits, tengeneza bila mipaka

Credits hutumika kutengeneza picha na video kwa engines zote za Chief AI. Bei kwa TZS.

Starter

60 credits

TZS 18,000

≈ TZS 300 kwa credit

  • 60 credits (~10 video za Chief au 30 picha)
  • Chat na Chief AI
  • Picha na video za kawaida (Chief)
  • Maktaba ya prompts
Maarufu zaidi

Creator

200 credits

TZS 50,000

≈ TZS 250 kwa credit

  • 200 credits (~20 video za Chief Pro au 100 picha)
  • Engines zote: Chief, Pro, Pro Max, Ultra
  • Video zenye sauti na cinematic 1080p
  • AI Character (uso mmoja kila mara)
  • Kipaumbele kwenye foleni

Studio

500 credits

TZS 100,000

≈ TZS 200 kwa credit

  • 500 credits (~50 video za Chief Pro au 250 picha)
  • Kila kitu cha Creator
  • Bei bora zaidi kwa credit
  • Motion transfer na object swap
  • Msaada wa kipaumbele

Credits zinavyotumika

Kila kizalishaji kinatoa credits kutoka kwenye salio lako:

  • Picha (Chief)2 credits
  • Picha (Chief Pro Max)3 credits
  • Video 5s (Chief)6 credits
  • Video 5s (Chief Pro)10 credits
  • Video 5s (Chief Pro Max)15 credits
  • Video 5s (Chief Ultra)25 credits
  • Video 10s×2 ya 5s credits
  • AI Character (kufundisha)20 credits

Lipa kwa M-Pesa au Tigo Pesa, kisha tuma uthibitisho kwa WhatsApp — credits zinaongezwa mara moja.